Pius Buswita

Mchezaji wa soka

Pius Buswita (alizaliwa mnamo 5 Oktoba 1997), ni mchezaji wa kandanda (mpira wa miguu) wa kitanzania

aliyezichezea klabu za Mbao F.C., Yanga Sc, Ruvu JKT,Polisi Tanzania na sasa Namungo SC zote zikiwa ni timu za Tanzania.

Pius anacheza nafasi ya kiungo mshambuliaji na mchezeshaji.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pius Buswita kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.