Ponta de Vera Cruz

Rasi eneo la Santa Maria, Cape Verde

Ponta de Vera Cruz ni ncha katika ukingo wa maji ndani ya jiji la Santa Maria kusini mwa nchi ya Cabo Verde.

Ponta de vera Cruz

Upo karibu na bandari ya Santa Maria. Ambapo juu kuna taa iliyowekwa kwenye mgahawa. [1]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ponta de Vera Cruz kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.