Ponto
Ponto (kwa Kigiriki: Πόντος, Pontos) ilikuwa eneo la kaskazini mashariki mwa rasi ya Anatolia (leo nchini Uturuki) kwenye Bahari Nyeusi.
Inatajwa na Biblia ya Kikristo katika Waraka wa kwanza wa Petro 1:1 na katika Matendo ya Mitume 2:9 na 18.2.
Marejeo
hariri- Bryer, Anthony A. M. (1980), The Empire of Trebizond and the Pontos, London: Variorum Reprints, ISBN 0-86078-062-7
- Ramsay MacMullen, 2000. Romanization in the Time of Augustus (Yale University Press)
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- History of Pontus
- The term Euxinus Pontus Archived 19 Septemba 2014 at the Wayback Machine.
- Where East meets West
40°36′N 38°00′E / 40.6°N 38.0°E
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ponto kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |