Portus Magnus, Algeria

Portus Magnus (Bandari Kubwa) ilikuwa bandari ya Kirumi magharibi mwa Mauretania Caesariensis. [1] Ilikuwa karibu na Portus Divinus ya Kirumi na Oran (Algeria). Wakati wa Kirumi, biashara kubwa kutoka eneo hilo ilikuwa ni nafaka na chumvi.

Ramani inayoonyesha eneo la "Portus Magnus" kwenye pwani ya magharibi ya Mauretania Caesariensis

Ina mabaki kadhaa ya Kirumi, mozaiki, na kazi za sanaa, ambazo zimepelekwa kwenye jumba la makumbukusho la Oran.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Portus Magnus, Algeria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.