Potenza (maana yake Uwezo) ni makao makuu ya mkoa wa Basilicata, Italia Kusini.

Muonekano wa Potenza

Mji huo una wakazi 66,679 (2018).

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Potenza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.