Primo wa Aleksandria

Primo wa Aleksandria alikuwa askofu wa tano wa mji huo wa Misri (16 Juni 106 - 9 Agosti 118)[1].

Inasemekana alibatizwa na Marko Mwinjili.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Agosti.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • "The Departure of Pope Primus (Aprimos), Fifth Patriarch of Alexandria". Official network of the Coptic Orthodox Church of Alexandria and All of Africa.
  • Meinardus, Otto F.A. (2002). Two Thousand Years of Coptic Christianity. American University in Cairo Press. ISBN 978-977-424-757-6.
  • Atiya, Aziz S. The Coptic Encyclopedia. New York: Macmillan Publishing Co., 1991. ISBN|0-02-897025-X

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.