Yamkini
(Elekezwa kutoka Probability)
Yamkini (kutoka Kiarabu يمكن yumkinu = inawezekana; kwa Kiingereza probability) ni kadirio la fursa au uwezekano wa kutokea au kutotokea kwa tukio fulani. Kuna tawi la hisabati linaloshughulikia swali hili.
Mfano: kwa kutumia hisabati ya yamkini unaweza kuonyesha ya kwamba ukirusha sarafu hewani mara 10 italala mara 5 kwa kuonyesha namba na mara 5 kwa kuonyesha nembo upande wa juu.
Fomula ya yamkini ni P=F/C. P ni yamkini, F ni idadi ya matukio yanayopendekezwa, C ni jumla ya matukio yanayoweza kutokea.
Tanbihi
haririMarejeo
hariri- Kallenberg, O. (2005) Probabilistic Symmetries and Invariance Principles. Springer -Verlag, New York. 510 pp. ISBN 0-387-25115-4
- Kallenberg, O. (2002) Foundations of Modern Probability, 2nd ed. Springer Series in Statistics. 650 pp. ISBN 0-387-95313-2
- Olofsson, Peter (2005) Probability, Statistics, and Stochastic Processes, Wiley-Interscience. 504 pp ISBN 0-471-67969-0.
Viungo vya nje
hariri- Virtual Laboratories in Probability and Statistics (Univ. of Ala.-Huntsville)
- Kigezo:In Our Time
- Probability and Statistics EBook
- Edwin Thompson Jaynes. Probability Theory: The Logic of Science. Preprint: Washington University, (1996). — HTML index with links to PostScript files and PDF (first three chapters)
- People from the History of Probability and Statistics (Univ. of Southampton)
- Probability and Statistics on the Earliest Uses Pages (Univ. of Southampton)
- Earliest Uses of Symbols in Probability and Statistics on Earliest Uses of Various Mathematical Symbols
- A tutorial on probability and Bayes' theorem devised for first-year Oxford University students
- [1] pdf file of An Anthology of Chance Operations (1963) at UbuWeb
- Introduction to Probability - eBook Ilihifadhiwa 27 Julai 2011 kwenye Wayback Machine., by Charles Grinstead, Laurie Snell Source Ilihifadhiwa 25 Machi 2012 kwenye Wayback Machine. (GNU Free Documentation License)
- (Kiingereza) (Kiitalia) Bruno de Finetti, Probabilità e induzione, Bologna, CLUEB, 1993. ISBN 88-8091-176-7 (digital version)