Professor X
Professor X (Kiswahili: Profesa X, Charles Francis Xavier) ni mwanazalishi wa X-Men na mkuu wa Xavier Institute for Higher Learning. Professor X ana uwezo wa ajabu wa kupeleka au kupokea fikira bila kusema kwa wala kuashiria, pia inajulikana kama telepathi.
Professor X (Profesa X) | |
---|---|
Maelezo ya chapisho | |
Mchapishaji | Marvel Comics |
Kujitokeza kwanza | The X-Men #1 (Sep. 1963) |
Waumbaji |
Stan Lee Jack Kirby |
Maelezo | |
Jina halisi | Charles Francis Xavier |
Spishi | Mutanti |
Ushirikiano | X-Men Illuminati Genoshan Excalibur Cadre K Brotherhood of Mutants Shi'ar Imperium Starjammers The Twelve Defenders |
Lakabu mashuhuri | Onslaught, Consort-Royal, Founder, X, Warlord, Entity |
Uwezo | Telepathi |
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Professor X kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |