Stan Lee (Desemba 28, 1922Novemba 12, 2018) anajulikana kama mwandishi na mchapishaji wa vitabu vya hadithi vya huko nchini Marekani. Alifanya kazi na kampuni ya kutengeneza filamu katika nchi hiyo ijulikanayo kama Marvel Comics kwa miongo miwili na kuitoa katika kampuni ndogo ya filamu mpaka sasa kuwa kampuni kubwa ya filamu Duniani.

Stan Lee


Kwa kushirikiana na wenzie wengine kama Jack Kirby na Steve Ditko wamefanikiwa kutengeneza wahusika maarufu sana kama vile Spider-Man, X-Men, Iron Man, Thor, Hulk, Fantastic Four, Black Panther, Daredevil, Doctor Strange, Scarlet Witch na Ant-Man.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stan Lee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.