X-Men
X-Men (Kiswahili: Watu-X) ni timu ya supa-mashujaa wa mutanti wa ulimwengu wa Marvel Comics.
X-Men (Watu-X) | |
---|---|
Maelezo ya chapisho | |
Mchapishaji | Marvel Comics |
Kujitokeza kwanza | The X-Men #1 (Septemba 1963) |
Waumbaji |
Stan Lee Jack Kirby |
Vituo | Utopia Xavier Institute for Higher Learning Australia Graymalkin Industries |
Orodha ya X-Men
hariri1963-1966
hariri- Professor X (Profesa X) - Mwanazalishi wa X-Men na mkuu wa Xavier Institute for Higher Learning.
- Cyclops (Siklopsi) - Alikuwa mwanachama wa kwanza wa X-Men.
- Iceman (Mtu-Barafu) - Ana uwezo wa kutawala na kutupa barafu.
- Angel (Malaika) - Mutanti mwenye mabawa.
- Beast (Nunda) - Ana manyoya ya buluu na nguvu ya juu.
- Marvel Girl (Msichana-Ajabu) - Mutanti mwenye telepathi na telekinesi
1966-1969
hariri- Havok (Uangamizi) - Mutanti mwenye uwezo kupiga mionzi ya utegili kutoka mikono yake.
- Polaris - Ana mamlaka ya sumaku
- Mimic (Mwiga)
- Changeling (Chenjilingi)
1975-1979
hariri- Sunfire (Moto wa Jua)
- Thunderbird (Ndegeradi)
- Banshee (Banshi)
- Colossus (Koloso)
- Nightcrawler (Shetani-Usiku)
- Storm (Dhoruba)
- Wolverine (Fisi-milima)
1980-1989
hariri- Magneto
- Shadowcat (Paka-Vivuli)
- Rogue (Ayari)
- Forge (Mhunzi)
- Psylocke
- Phoenix (Finiksi)
- Lockheed
- Dazzler (Kimeta)
- Longshot
1990-1999
hariri- Jubilee (Jubilii)
- Gambit (Gambiti)
- Bishop (Askofu)
- Revanche (Ulipizi)
- Cannonball (Mpira wa Mzinga)
- Marrow (Uboho)
- X-Man (Mtu-X)
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu X-Men kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |