Jack Kirby
Jack Kirby (Agosti 28, 1917 – Februari 6, 1994) anajulikana kama mwandishi wa vitabu vya hadithi vya huko nchini Marekani. Alikua katika jiji la New York na huko alijifunza kuchora picha za katuni.
Mnamo mwaka 1940 yeye pamoja na mwenzie Joe Simon waliunda mhusika mkubwa anayejulikana kama Captain America. Katika miaka ya 1940 Kirby aliungana na mwenzie Joe Simon na kutengeneza wahusika mbalimbali katika kampuni ya National Comics Publications ambayo kwa sasa ni Dc Comics.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jack Kirby kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |