Q Jay
Joseph Kevin Mapunda (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Q Jay; amezaliwa 19 Juni 1985) ni mwimbaji wa R&B na bongo flava kutoka nchi Tanzania.
Q Jay | |
---|---|
Jina Kamili | {{{jina kamili}}} |
Jina la kisanii | Q Jay |
Nchi | Tanzania |
Alizaliwa | 19 Juni 1985 |
Aina ya muziki | R&B - Bongo Flava |
Kazi yake | Mwanamuziki |
Miaka ya kazi | 2003 - hadi leo |
Ameshirikiana na | Dknob Joslin Macmua Bandago |
Ala | Sauti |
Kampuni | Mj Records Mwamba Production Back Yard Records |
Ni mmoja kati ya wanakundi la muziki maarufu wa R&B - Wakali Kwanza.
Anafamika zaidi kwa kibao chake "Hanifai" alichomshirikisha Joslin. Pia kupata kushirikishwa katika baadhi ya nyimbo maarufu za bongo flava kama vile, Kitu Gani, Nakupa Sifa na niko kwa kweli.
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Q Jay kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |