Kitu Gani ni nyimbo ya Dknob akimshirikisha Q Jay. Inatoka katika albamu ya "Bomoa Mipango". Nyimbo ilirekodiwa katika studio ya Mwamba Production ya Dar es Salaam, Tanzania. Nyimbo hii imekuwa kama utambulisho wa albamu hiyo ya Bomoa Mipango, ingawaje si wengi waliotegemea albamu itakwenda kwa jina hilo. Albamu imetolewa mnamo tarehe 1 Julai ya mwaka wa 2008.

“Kitu Gani”
“Kitu Gani” cover
Single ya Dknob
kutoka katika albamu ya Bomoa Mipango
Imetolewa 20 Aprili 2007
Imerekodiwa 2007
Aina Hip Hop na Bongo Flava
Urefu 3:41
Studio Mwamba Productions
Mtunzi Dknob
Mtayarishaji Miikka Mwamba
Mwenendo wa single za Dknob
"Ingewezeakana"
(2007)
"Kitu Gani"
(2007)
"Dear Mtoto"
(2008)

Tazama pia

hariri

Viungo vya nje

hariri


  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitu Gani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.