Qasim Amin
mwandishi, hakimu na mrekebishaji wa kijamii
Qasim Amin (hutamkwa [ˈʔæːsem ʔæˈmiːn], Kiarabu cha Misri: قاسم أمين; Alizaliwa 1 Desemba 1863, huko jijini Alexandria [1] na kufariki Aprili 22, 1908 Kairo) . Alikua mwanasheria wa Misri, Muislam wa kisasa[2] na mmoja wa waanzilishi wa harakati za kitaifa za Misri na Chuo Kikuu cha Kairo. Qasim Amin kihistoria anaonekana kama ni mwanaharakati wa kwanza kutetea haki za wanawake kutokea uarabuni ingawa alijiunga na mjadala wa utetezi wa wanawake unaorudusha nyuma maendeleo[3]
Marejeo.Edit
- ↑ Mansoor, Menahem (1972). Political and Diplomatic History of the Arab World, 1900-1967: 1965-67 (in en). NCR Microcard Editions. ISBN 978-0-910972-09-3.
- ↑ Kurzman, Charles (2002). Modernist Islam, 1840-1940: A Sourcebook (in en). Oxford University Press. ISBN 978-0-19-515468-9.
- ↑ Tripp, Charles (2006-07-20). Islam and the Moral Economy: The Challenge of Capitalism (in en). Cambridge University Press. ISBN 978-1-139-45715-6.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Qasim Amin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |