Quillan Roberts
Quillan Eon Myles Roberts (alizaliwa 13 Septemba 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa anacheza kama kipa katika klabu ya Western Suburbs FC katika ligi ya New Zealand Central. Alizaliwa nchini Kanada, kwa sasa anaiwakilisha timu ya taifa ya Guyana baada ya hapo awali kuiwakilisha Kanada katika ngazi ya juu ya vijana.[1][2][3]
Marejeo
hariri- ↑ "Quillan Roberts". Canada Soccer. Iliwekwa mnamo Machi 2, 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Canadian Soccer League". Julai 7, 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Julai 7, 2011. Iliwekwa mnamo Oktoba 25, 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ nurun.com. "TFC declines options, releases protected list". Cornwall Standard Freeholder. Iliwekwa mnamo Februari 23, 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Quillan Roberts kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |