Raïna Raï, ni bendi ya muziki wa raï ya nchini Algeria kutoka Sidi Bel Abbès . Iliundwa mnamo 1980 huko Paris na inaendelea hadi leo. [1]Wanachama waanzilishi wa bendi hiyo ni pamoja na Tarik Naïmi Chikhi, Kaddour Bouchentouf, Lotfi Attar [2] na Hachemi Djellouli. [3]

nembo ya bendi
nembo ya bendi

Historia

hariri

Bendi hii ilianzishwa mnamo Desemba 1980 huko Paris .

Wanachama

hariri
  • Kada Guebbache : Vocal & Karkabou
  • Hachemi Djellouli : Percussions
  • Lotfi Attar : Mpigajii wa zamani wa gitaa
  • Reda Gherici : Vocal & Bass Guitar
  • Abderahmane Dendane : Saksafoni
  • Nadjib Gherici : Guitare

Orodha ya kazi za muziki

hariri

Albamu

hariri
  • Raina Rai, 1982, Sadi Disques.
  • Hagda, 1983, auto-production (HTK Productions) two titles were used in the original soundtrack of the film Tchao Pantin of Claude Berri featuring Coluche..
  • Rana Hna, 1985, Edition Rachid & Fethi.
  • Mama, 1988, Edition Rachid & Fethi
  • Zaama, 1992, Musidisc.
  • Bye Bye, 2001, Lazer Production.

Marejeo

hariri
  1. "Raïna Raï presentation – zoom-algerie.com". 2010-10-11. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-18.
  2. "Lotfi Attar of Raïna Raï – el-annabi.com". 2011-05-17. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-28.
  3. "Hachemi Djellouli of Raïna Raï – bel-abbes.info". 2011-05-17. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-11-07.
  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Raïna Raï kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.