Raúl Francisco Primatesta

Raúl Francisco Primatesta (14 Aprili 19191 Mei 2006) alikuwa kardinali wa Kanisa Katoliki nchini Argentina na askofu mkuu wa Córdoba, Argentina.

Raúl Francisco Primatesta
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.