Radbodo wa Utrecht

Radbodo wa Utrecht (pia: Radbod, Radboud, Redbad; karibu na Namur, leo nchini Ubelgiji, kabla ya 850Ootmarsum, leo nchini Uholanzi, 29 Novemba 917 hivi) alikuwa askofu wa mji huo tangu mwaka 899/900 hivi hadi alipofariki dunia wakati anatembelea wakulima kama kawaida yake.

Mt. Radbodo alivyochorwa.

Alikuwa maarufu kama mchungaji mwenye ujuzi na busara [1].

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waortodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe 29 Novemba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • F. Rädle, "Bischof Radbod von Utrecht", Die deutsche Literatur des Mittelalters: Verfasserlexikon, 2e ed.; dl. 7: 962-965 (with a survey of Radboud's published writings)
  • B. Ahlers, Die ältere Fassung der Vita Radbodi (Frankfurt-Bern, 1976)
  • M. Carasso-Kok, Repertorium van verhalende historische bronnen uit de Middeleeuwen (Den Haag, 1981); kritisch overzicht van aan Radboud toegeschreven werken (nrs. 8, 18, 52, 53, 62, 80, 88, 89, 352) en van de heiligenlevens over Radboud (nr. 75)
  • Vita Radbodi/ Het leven van Radboud, explained, delivered and translated by Peter Nissen and Vincent Hunink (Nijmegen 2004)
  • A. G. Weiler, "Sint Radboud, bisschop van Utrecht [Deventer] van 899/900 tot 917. Pastor, geleerde, historicus, dichter en componist", Trajecta, tijdschrift voor geschiedenis van het katholiek leven in Nederland; 12 (2003) 97-115
  • René Veenman, "Radbouds Over de zwaluw", in: Madoc; 19 (2005): 194-203

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.