Rahmat Erwin Abdullah
Mnyanyua uzito raia wa Indonesia (mzaliwa wa mwaka 2000)
Rahmat Erwin Abdullah (alizaliwa Makassar, Sulawesi Kusini, 13 Oktoba 2000) ni mwanamichezo wa kunyanyua vitu vizito (uzani) kutoka Indonesia. Yeye ni mchezaji wa kunyanyua vitu vizito (uzani) anayeshindana katika daraja la kilo 73, tangu mashindano ya dunia ya kunyanyua vitu vizito (mizani) ya 2018 huko Ashgabat, Turkmenistan.
Alishindana mechi yake ya kwanza ya kimataifa katika mashindano ya dunia ya vijana ya kunyanyua vitu vizito (mizani) ya 2017 yaliyofanyika Bangkok, Thailand katika daraja la kilo 69.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Rahmat Erwin ABDULLAH". Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-11-29.