Rahul Bose (alizaliwa 27 Julai 1967) ni muigizaji wa filamu kutoka Uhindi, mkurugenzi, screenwriter, mwanaharakati na mchezaji raga.

Rahul Bose

Bose alitumia utoto wake katika Bangalore, Karnataka, na kisha kuhamia Mumbai na familia yake.[onesha uthibitisho]

Filamu muhimu hariri

Marejeo hariri