Rainbow Prelude (虹のプレリュード Niji no Pureryuudo?) ni manga iliyoandikwa na Osamu Tezuka, na pia ni jina la mojawapo ya vitabu vyake katika mshororo wa Kodansha wa vitabu vya "Osamu Tezuka Manga Complete Works" vilivyo na mkusanyiko wa hadithi fupi za Tezuka. Hadithi fupi zilizounda kitabu hiki ni pamoja na "Rainbow Prelude", "The Curtain is Still Blue Tonight", fashoni ya manga ya tamthilia ya Shakespeare "The Merchant of Venice", "Peacock Shell", na "Song of the White Peacock".

Ploti hariri

Rainbow Prelude hariri

Hadithi inamhusu msichana kwa jina la Rainbow Prelude. Huyu ni msichana mdogo wa Kifaransa ambaye anakutana na kumpenda Chopin, wakati ambapo Poland ilikuwa imekaliwa na majeshi ya Urusi.

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rainbow Prelude kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.