Ramadhan Chombo
Mwanasoka wa Tanzania
Ramadhan Chombo (alizaliwa Desemba 9, 1987) ni mchezaji wa soka nchini Tanzania, ambaye anacheza kama kiungo wa kati katika klabu ya Biashara United F.C [1]
Ramadhan Chombo | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Jina kamili | Ramadhan Seleman Chombo | |
Tarehe ya kuzaliwa | 9 Desemba 1987 | |
Mahala pa kuzaliwa | Tanga, Tanzania | |
Urefu | 1.74 m | |
Nafasi anayochezea | Kiungo wa kati | |
Timu ya taifa | ||
Timu ya Taifa ya Tanzania | ||
* Magoli alioshinda |
Amechezea vilabu mbalimbali nchini Tanzania kabla ya kasainiwa katika klabu ya Biashara United, Simba S.C (2009 - 2010, 2012 - 2014), Azam F.C (2010 - 2012), Villa Squad (2014 - 2016), Mbeya City (2016 - 2017), Friends Rangers (2017 - 2018), Africa Lyon (2018 -2019) na Biashara United (2020 -2023).[2]
Marejeo
hariri- ↑ [1] at National-Football-Teams.com
- ↑ Benjamin Strack-Zimmermann. "Ramadhan Seleman Chombo (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-10.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ramadhan Chombo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |