9 Desemba
tarehe
(Elekezwa kutoka Desemba 9)
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 9 Desemba ni siku ya 343 ya mwaka (ya 344 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 22.
Matukio
hariri- 1961 - Nchi ya Tanganyika inapata uhuru kutoka Uingereza, huku ikiendelea kuwa na Elizabeti II kama malkia wake kwa mwaka mmoja
Waliozaliwa
hariri- 1868 - Fritz Haber, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1918
- 1917 - James Rainwater, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1975
- 1919 - William Lipscomb, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1976
- 1919 - Mary Benson, mwandishi wa kike wa Afrika Kusini
- 1926 - Henry Kendall, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1990
- 1952 - Ludovic Minde, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1957 - Jacob Venance Koda, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
Waliofariki
hariri- 1437 - Kaisari Sigismund wa Ujerumani
- 1565 - Papa Pius IV
- 1669 - Papa Klementi IX
- 1937 - Nils Dalen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1912
- 1945 - Yun Chi-ho, mwanasiasa kutoka Korea Kusini
- 1971 - Ralph Bunche, mwanasiasa Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1950
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Juan Diego, Leokadia wa Toledo, Siro wa Pavia, Gorgonia wa Nazienzi, Sipriani wa Genouillac, Petro Fourier n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 9 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |