Ramy Bensebaini
Mchezaji wa chama cha soka cha Algeria
Amir Selmane Ramy Bensebaïni (alizaliwa 16 Aprili 1995)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Algeria, ambaye anacheza kama beki wa kushoto katika klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Algeria.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ramy Bensebaini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |