Rappa Ternt Sanga ni albamu ya kwanza ya mtayarishaji/mwimbaji-mtunzi wa nyimbo za hip hop T-Pain, ilitolewa mnamo mwaka wa 2005. Jina la albamu ni lahaja ya matamshi ya rai "rapper turned singer", yaani, "rapa aliyegeuka kuwa mwimbaji". Albamu imeuza nakala zaidi ya 800,000 dunia nzima. T-Pain alikuwa na vibao viwili kwenye US Billboard Top Ten cha "I'm Sprung" na "I'm 'n Luv (Wit a Stripper)". Nyimbo nyingine kutoka katika albamu ni pamoja na "I'm So High," wimbo unaohusu wa matumizi ya madawa ya kulevya. Rappa Ternt Sanga iliingia nafasi ya #40 kwenye Billboard 200 na ikaanguka nafasi hamsini hadi #91 juma lililofuata; majuma kadhaa ya usoni hatimaye ikapanda hadi nafasi ya #33. Moja ya nyimbo zilizobaki ni pamoja na "You And Me", toleo la awali la "I Can't Wait" la Akon. [1] Albamu yote imetengenzwa na GarageBand.[2]

Rappa Ternt Sanga
Rappa Ternt Sanga Cover
Studio album ya T-Pain
Imetolewa 6 Desemba 2005
Imerekodiwa 2004-2005
Aina Hip hop
R&B
Lebo Konvict Muzik
Jive Records
Mtayarishaji T-Pain
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za T-Pain
Rappa Ternt Sanga
(2005)
Epiphany
(2007)
Single za kutoka katika albamu ya Rappa Ternt Sanga
  1. "I'm Sprung"
    Imetolewa: 16 Agosti 2005
  2. "I'm 'n Luv (Wit a Stripper)"
    Imetolewa: 13 Desemba 2005
  3. "Studio Luv"
    Imetolewa: 2 Oktoba 2006

Orodha ya nyimbo

hariri
# Jina Walioshirikishwa Muda
1 "Rappa Ternt Sanga (Intro)" 1:48
2 "I'm Sprung" 3:51
3 "I'm 'n Luv (Wit a Stripper)" Mike Jones 4:25
4 "Studio Luv" 3:37
5 "You Got Me" Akon 3:35
6 "Let's Get It On" 3:52
7 "Como Estas" Taino 3:34
8 "Have It (Interlude)" 3:16
9 "Fly Away" 3:55
10 "Going Through A lot" Bone Crusher 4:28
11 "Say It" 4:00
12 "Dance Floor" Tay Dizm 5:10
13 "Your Not The Same" Akon 4:17
14 "My Place" 3:40
15 "Blow Ya Mind" 4:16
16 "Ridge Road" 4:34
17 "I'm High" Styles P 4:37
18 "I'm Sprung 2" YoungBloodZ, Pitbull & Trick Daddy 4:20

Nafasi ya chati

hariri
Chati (2006) Nafasi
iliyoshika
U.S. Billboard 200 33
U.S. Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums 8

Marejeo

hariri
  1. "Top Music Charts - Hot 100 - Billboard 200 - Music Genre Sales". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-21. Iliwekwa mnamo 2008-12-21.
  2. "Electronic Musician interview with T-Pain". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-10-10. Iliwekwa mnamo 2010-03-16.