Raraka
Raraka ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa mashariki wa kisiwa cha Fakarava. Eneo la kisiwa ni 7.2 km². Kijiji cha pekee kisiwani huitwa Motupapu. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 110. Watu wakaao kisiwani kwa Raraka huongea Kituamotu na Kitahiti.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|