Raymond Davis
Raymond Davis (14 Oktoba, 1914 - 31 Mei, 2006) alikuwa mwanafizikia na mwamakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mambo ya nyota. Mwaka wa 2002, pamoja na Masatoshi Koshiba na Riccardo Giacconi, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Raymond Davis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |