Rema Namakula

Rema, ni msanii wa Uganda

Rehema Namakula (anajulikana zaidi kama Rema; alizaliwa 24 Aprili 1991) ni msanii wa Uganda.[1]

Rehema Namakula
Amezaliwa 24 Aprili 1991
Lubaga
Nchi Uganda
Majina mengine Rema
Kazi yake Msanii


Elimu hariri

Rema alizaliwa katika hospitali ya Lubaga, tarehe 24 Aprili 1991, kwa marehemu Hamida Nabbosa na marehemu Mukiibi Ssemakula.[2] Yeye ndiye mzaliwa wa mwisho katika familia yake. Alisoma Shule ya Msingi Kitante. Alisoma pia Shule ya Sekondari ya Saint Balikudembe kwa masomo yote ya O-Level na A-Level. Baadaye, alijiunga Chuo Kikuu cha Kyambogo ambayo hakuwahi kumaliza na anasema ana mpango wa kufanya hivyo baadaye.

Marejeo hariri

  1. Sean Musa Carter (12 July 2016). "Facts you Didn't Know About Rema Namakula". Kampala: Ugblizz.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-07. Iliwekwa mnamo 6 October 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. Mites, Isaac (21 March 2015). "Rema Namakula Shares Her Biography". Kampala: Bigeye.ug (Big Eye Uganda). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-26. Iliwekwa mnamo 6 October 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rema Namakula kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.