Rhamnus prinoides
Rhamnus prinoides | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Rhamnus prinoides
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Rhamnus prinoides, buckthorn yenye majani yanayong'aa, ni kichaka au mti mdogo katika familia Rhamnaceae uliopo Afrika.
Huko Ethiopia unajulikana kama "gesho" ilielezewa kwa mara ya kwanza kisayansi na mtaalamu wa mimea wa Ufaransa Charles Louis L'Héritier de Brutelle mwaka wa 1789.[1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rhamnus prinoides kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |