Ricardo Andrade Quaresma Bernardo ni mchezaji mtaalamu wa mpira wa miguu wa Ureno ambaye anacheza kama winga kwa klabu ya Kituruki Beşiktaş na timu ya taifa ya Ureno.

Ricardo Quaresma
Ricardo Quaresma.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ricardo Quaresma kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.