Richard Mganga Ndassa

mwanasiasa wa Tanzania

Richard Mganga Ndassa (21 Machi 1959Dodoma, 29 Aprili 2020) alikuwa mbunge wa jimbo la Sumve katika bunge la kitaifa nchini Tanzania.[1] Alitokea katika chama cha CCM.

Kabla ya kuingia bungeni Ndassa, aliyekuwa na cheti cha Chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam, alikuwa meneja mauzo kwenye gazeti la Mfanyakazi kuanzia 1981 hadi 1996[2].

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu Richard Mganga Ndassa (19 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
  2. Hon. Richard Mganga Ndassa, tovuti la Bunge Tanzania, iliangaliwa Aprili 2020