Sumve
Sumve ni kata ya Wilaya ya Kwimba katika Mkoa wa Mwanza, Tanzania.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 16,436 waishio humo.[1]
Msimbo wa posta ni 33814.
Jina linatokana na kijiji kimoja kiitwacho Sumve ambapo katika miaka mingi ya nyuma, kabla ya wamisionari kuanza kuishi katika kijiji, palikuwa na watu wafahamikao kama Wasomva ambao walitokea maeneo ya Tabora ambao kazi yao ilikuwa kutengeneza majembe, mapanga na kuyauza lakini baada ya wamisionari kuja wakawa wameyaacha maeneo yao na kurudi kwao Tabora.
Tanbihi hariri
Kata za Wilaya ya Kwimba - Mkoa wa Mwanza - Tanzania | ||
---|---|---|
Bugando | Bungulwa | Bupamwa | Fukalo | Hungumalwa | Igongwa | Ilula | Iseni | Kikubiji | Lyoma | Maligisu | Malya | Mantare | Mhande | Mwabomba | Mwagi | Mwakilyambiti | Mwamala | Mwandu | Mwang'halanga | Mwankulwe | Ng'hundi | Ngudu | Ngulla | Nkalalo | Nyambiti | Nyamilama | Shilembo | Sumve | Walla |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sumve kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |