Rita Frances Dove (amezaliwa 28 Agosti 1952) ni mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1987 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Rita Dove, 2012

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rita Dove kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.