Riziki Said Lulida

mwanasiasa wa Tanzania

Riziki Said Lulida (amezaliwa tarehe 31 Julai 1955) ni mbunge wa viti maalumu katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama tawala cha CCM.

Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [2][3]

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. ["Mengi kuhusu Riziki Said Lulida". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 2010-11-13.  Mengi kuhusu Riziki Said Lulida]
  2. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  3. https://peoplepill.com/people/riziki-said-lulida/

Viungo vya nnje hariri