Robert Robinson (13 Septemba 18868 Februari 1975) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza misombo ya kikaboni, kwa mfano alkaloidi. Mwaka wa 1939 alipewa cheo cha "Sir". Mwaka wa 1947 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Robert Robinson
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Robinson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.