Roger Ebert

Roger Joseph Ebert (18 Juni 19424 Aprili 2013) alikuwa mwandishi wa habari, mtunzi wa filamu, na mtahakiki kutoka nchini Marekani.

Roger Ebert
Roger Ebert cropped.jpg

Alipata kuchapisha vitabu zaidi ya 20 na madazeni ya mikusanyo ya tahakiki.

MarejeoEdit

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roger Ebert kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.