Ronald Cornett Hawkins(Januari 10, 1935 - Mei 29, 2022) alikuwa mwimbaji-mtunzi wa nyimbo wa Kimarekani, aliyeishi Kanada, ambaye kazi yake ilidumu zaidi ya nusu karne.[1] Alianza kazi yake huko Arkansas, Marekani, ambako alizaliwa na kukulia. Alizaliwa mjini Ontario, Kanada na kuishi huko kwa muda mrefu. Alikuwa na ushawishi mkubwa katika uanzishwaji na mageuzi ya muziki wa rock nchini Kanada.[2][3]

Ronnie Hawkins mwaka2019

Marejeo

hariri
  1. King, Betty Nygaard. "Ronnie Hawkins | The Canadian Encyclopedia". www.thecanadianencyclopedia.ca. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Mei 15, 2022. Iliwekwa mnamo Mei 30, 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Quotes from Sylvia Tyson and Burton Cummings. Quotes and Tales Archived Julai 17, 2010, at the Wayback Machine. Ronnie Hawkins's Official Website. Accessed June 4, 2010.
  3. Mersereau, Bob (2015). The History of Canadian Rock 'n' Roll. Rowman & Littlefield. uk. 35. ISBN 978-1-4950-2891-5.
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ronnie Hawkins kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.