Rosario

Rosario ni mji uliopo mashariki-kati mwa nchi ya Argentina, takriban km 300 kutoka mji wa Buenos Aires. Ni makao makuu ya Wilaya ya Santa Fe.

Rosario katika picha nyingi.

Kwa mwaka wa 2008, mji wa Rosario ulikuwa na wakazi wapatao 1,000,000, na kuufanya uwe mji wa tatu kwa ukubwa katika Argentina. Mji upo katika eneo la mto mashuhuri wa Argentina, mto Parana.

UtamaduniEdit

Ukumbi wa michezoEdit

MakumbushoEdit

MaktabaEdit

  • Biblioteca Central General José de San Martín
  • Biblioteca Municipal Francisco López Merino
  • Biblioteca de la Legislatura de la Provincia

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Argentina bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rosario kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.