Rosenborg Ballklub
Rosenborg Ballklub (kifupisho: RBK) ni klabu ya kandanda kutoka mji wa Trondheim, Norwei. Inacheza katika Ligi Kuu ya Norwei. Klabu iliundwa mwaka 1917.
|
Lerkendal Stadion
haririLerkendal ni Uwanja wa mpira wa miguu huko Trondheim, Norwei. Ni uwanja wa nyumbani kwa Rosenborg BK. Unapokea watazamaji 21,116, na hivi ni wa pili kwa ukubwa nchini humo.
Tuzo
hariri- Ligi Kuu ya Norwei:
- Washindi (26): 1967, 1969, 1971, 1985, 1988, 1990, 1992, 1993, 1994, 1995, 1996, 1997, 1998, 1999, 2000, 2001, 2002, 2003, 2004, 2006, 2009, 2010, 2015, 2016, 2017, 2018
- Wa pili (5): 1968, 1970, 1973, 1989, 1991
- Kombe la soka la Norwei:
- Washindi (12): 1960, 1964, 1971, 1988, 1990, 1992, 1995, 1999, 2003, 2015, 2016, 2018
- wa pili (5): 1967, 1972, 1973, 1991, 1998
Wachezaji wa klabu kwa msimu wa mwaka wa 2022
hariri13 May 2022[1]
Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.
|
|
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Rosenborg Ballklub kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Viungo vya nje
hariri- Official Website (rbk.no)
- Official facebook