Rumiñahui ni mlima wa Andes katika nchi ya Ekwador (Amerika Kusini).

Mlima Rumiñahui

Urefu wake ni mita 4,722 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri