São Vicente (Cabo Verde)
São Vicente (Cabo Verde) ni kisiwa cha jamhuri ya Cabo Verde, katika kundi la Barlavento (yaani "juu ya upepo").
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu São Vicente (Cabo Verde) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |