Sabina Wanjiru Chege

Mwana siasa kutoka nchini Kenya-Mwakilishi wa Wanawake wa kaunti ya Murang’a

Sabina Wanjiru Chege (amezaliwa 22 Agosti 1978) ni mwanasiasa, muigizaji na mtangazaji wa zamani wa radio na runinga kutoka Kenya. Mwaka 2013 hadi 2022 alihudumu kama mbunge wa kaunti ya Murang'a.

Sabina Wanjiru Chege
binadamu
Jinsiamwanamke Hariri
Nchi ya uraiaKenya Hariri
Jina halisiSabina Hariri
Tarehe ya kuzaliwa10 Agosti 1978 Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza, Kikikuyu, Kiswahili Hariri
Kazipolitician Hariri
Nafasi ilioshikiliwaMember of the National Assembly, Member of the National Assembly Hariri
AlisomaChuo Kikuu cha Nairobi Hariri
Honorific prefixThe Honourable Hariri
Mwanachama wa chama cha siasaNational Alliance Party of Kenya Hariri
KabilaWagikuyu Hariri
Described at URLhttp://www.parliament.go.ke/the-national-assembly/members/item/3950-hon-chege-maitu-sabina-wanjiru Hariri

Wasifu wa kisiasa

hariri

Alichaguliwa kuwa mwakilishi wa wanawake katika Bunge la Kitaifa katika Kaunti ya Muranga mwaka wa 2013 kwa asilimia 96.6% ya kura. Alikuwa mwanachama wa chama cha National Alliance. Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2017, alichaguliwa tena, akiwa mwanachama wa Jubilee Party. Chama cha Jubilee kilianzishwa mnamo mwaka 2016 kama mrithi wa Jubilee Alliance, muungano wa vyama kadhaa vya kisiasa ikiwa ni pamoja na chama cha Chege cha National Alliance. Katika kipindi chake cha kwanza bungeni alikuwa mwenyekiti wa Kamati ya Idara ya Elimu, Utafiti na Teknolojia na mwanachama wa Kamati ya Usimamizi wa Utekelezaji wa Katiba. Tangu mnamo mwaka 2017 amekuwa akihudumu kama mwenyekiti wa Kamati ya Bunge kwenye taasisi ya Afya.[1]

Marejeo

hariri