Safari 431 ya Kenya Airways
Kenya Airways Flight 431 ilikuwa safari ya ndege ya aina ya Airbus A310-300 ambayo ilikuwa imepangwa kimataifa katikati ya Abidjan-Lagos na Nairobi. Ndege hii ilianguka kwenye bahari karibu na pwani ya Ivory Coast, tarehe 30 Januari 2000, saa 21:09:24 GMT , muda mfupi baada ya kutoka kwa uwanja wa Kimataifa wa Felix Houphouët-Boigny.[1][2]Ilikuwa na jumla ya watu 179 huku 169 walikuwa ni abiria.[1][2][2][3][4] Hii ilikuwa ni ajali ya kwanza iliyosababisha vifo iliyokumba Kenya Airways.
Ndege
haririIliyopewa jina Harambee Star, ndege iliyohusika katika ajali ilikuwa aina ya Airbus A310-304, mkia nambari ya usajili 5Y-BEN, ilikuwa imenunuliwa ikiwa mpya na kampuni ya Kenya Airways mnamo 1986.[5][6][7]
Virejeleo
hariri- ↑ 1.0 1.1 "REPORT Accident which occurred on 30 January 2000 in the sea near Abidjan Airport to the Airbus 310-304 registered 5Y-BEN operated by Kenya Airways" (PDF). Bureau d'Enquêtes et d'Analyses pour la Sécurité de l'Aviation Civile. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2013-10-29. Iliwekwa mnamo 2011-5-20.
{{cite web}}
: Check date values in:|accessdate=
(help) - ↑ 2.0 2.1 2.2 "Kenyan plane crashes into sea". Retrieved on 2012-08-27. Archived from the original on 2012-03-03.
- ↑ "Rescuers seek more survivors of Kenya Airways crash". Retrieved on 2011-5-20. Archived from the original on 2005-05-20.
- ↑ "Over 100 feared dead after Kenyan jet crash", 2000-1-31. Retrieved on 2012-08-27. Archived from the original on 2012-03-03.
- ↑ "WebCite query result". webcitation.org. 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-03. Iliwekwa mnamo 27 Agosti 2012.
{{cite web}}
: Cite uses generic title (help) - ↑ "WebCite query result". webcitation.org. 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-30. Iliwekwa mnamo 27 Agosti 2012.
{{cite web}}
: Cite uses generic title (help) - ↑ "WebCite query result". webcitation.org. 2012 [last. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-30. Iliwekwa mnamo 27 Agosti 2012.
{{cite web}}
: Check date values in:|year=
(help); Cite uses generic title (help)
Viungo vya nje
hariri- Accident Report - Ministry of Transport, Republic of Côte d'Ivoire - Translated into English by the Bureau d'Enquêtes et d'Analyses pour la Sécurité de l'Aviation Civile (BEA) and hosted on the BEA website (Kiingereza)
- Complete Report( Archived 12 Machi 2012 at the Wayback Machine.) (Kiingereza)
- Accident Report - Ministry of Transport, Republic of Côte d'Ivoire - Hosted on the website of the BEA (Kifaransa)
- Complete Report( Archived 21 Julai 2011 at the Wayback Machine.) (Kifaransa)
- Site of families of victims Archived 8 Februari 2008 at the Wayback Machine.. (Kiingereza)/(Kifaransa)