Sagari
Sagari (alifariki Laodikea, Frigia, leo nchini Uturuki, 170 hivi) alikuwa askofu wa mji huo aliyeuawa na serikali ya Dola la Roma, chini ya gavana wa Asia Ndogo Servilius Paulus, kwa sababu ya imani yake ya Kikristo[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |