Saidi Salim Bakhresa

Saidi Salim Bakhresa (alizaliwa Zanzibar mnamo mwaka 1949) ni mfanyabiashara mkubwa nchini Tanzania.

Yeye ndiye mwanzilishi na mwenyekiti wa Bakhresa Group. Anajulikana sana katika nchi ya Tanzania na Afrika kiujumla.

Alianza kama mtu mdogo aliyeanzisha mgahawa na mwishowe kuwa kampuni iitwayo Bakhresa Group. Alipokuwa na umri wa miaka 14 aliacha shule na kufanya kazi hiyo na baadae kuwa mfanyabiashara mkubwa.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saidi Salim Bakhresa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.