Sakafu ni sehemu ya chini ya nyumba au jengo lingine lolote iliyotandazwa na kupigiliwa vizuri kwa kuchanganya mawe, mchanga na simenti. Sakafu huweza pia kujengwa kwa mbao.

Watu wakitengeneza sakafu ya mbao.

AinaEdit

Aina ya sakafu inategemea mahitaji ambayo yanahitajika katika maisha ya mtu. Aina kuu ni:

Kulingana na mahali ndani au nje ya majengo. kuna:

  • Sakafu ya ndani
  • Sakafu ya nje

Kulingana na malighafi iliyotumika kutengeneza sakafu, kuna:-

Viungo vya njeEdit

Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: