Salerno

Salerno ni mji wa Italia katika mkoa wa Campania.

Mji wa SalernoSalerno
Majiranukta: 40°41′00″N 14°56′00″E / 40.68333°N 14.93333°E / 40.68333; 14.93333
Nchi Italia
Mkoa Campania
Wilaya Salerno
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 146,045
Tovuti:  www.comune.salerno.it

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 150,000.

Mji upo mita 4 juu ya usawa wa bahari na ni maarufu kwa chuo kikuu cha utabibu ambacho ni kati ya vyuo vikuu vya zamani zaidi duniani.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Salerno kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.