Salum Abubakar
Salum Abubakar alizaliwa mnamo (26 Agosti, 1992), ni mchezaji wa soka nchini Tanzania ambaye anacheza kama kiungo. Kwa sasa anacheza katika klabu ya Young Africans S.C.
Salum Abubakar | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Jina kamili | Salum Abubakar Salum | |
Tarehe ya kuzaliwa | 26 Agosti 1992 | |
Mahala pa kuzaliwa | Tandahimba, Mtwara, Tanzania | |
Urefu | 1.65 m | |
Nafasi anayochezea | Kiungo | |
* Magoli alioshinda |
Ushiriki Kimataifa
haririMagoli Kimataifa
hariri- Alama na matokeo yanaorodhesha idadi ya mabao ya Tanzania kwanza.[1]
Na. | Tarehe | Uwanja | Mpinzani | Mabao | Matokeo | Mashindano |
---|---|---|---|---|---|---|
1. | 15 Novemba 2019 | Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Tanzania | Guinea ya Ikweta | 2–1 | 2–1 | Mashindano ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2021, Kundi J |
Marejeo
hariri- ↑ Salum Abubakar at National-Football-Teams.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Salum Abubakar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |