Samuel Shepard Rogers (5 Novemba 1943 - 27 Julai 2017) alikuwa mchezaji na mwandishi wa michezo ya kuigiza kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa jina la Sam Shepard.

Sam Shepard

Amezaliwa Samuel Shepard Rogers IV
(1943-11-05)5 Novemba 1943
Illinois, Marekani
Amekufa 27 july 2017 (miaka 73)
Kazi yake Mwandishi
Kipindi 1960-2017
Ndoa O-Lan Jones
(1969–1984)

Mwaka wa 1979 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa ajili ya tamthiliya yake iitwayo kwa Kiingereza Burning Child.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sam Shepard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.