Hifadhi ya Samburu

hifadhi ya wanyama pori kwenye kingo za mto Ewaso Ng'iro nchini Kenya.
(Elekezwa kutoka Samburu National Reserve)

Hifadhi ya Samburu inapatikana katika kaunti ya Samburu nchini Kenya.

Mlango wa Hifadhi ya Kitaifa ya Samburu, Kenya.

Ndiyo "nchi huru" ambapo Joy Adamson alikasirishwa mno na simba. Hii imeifanya mbuga hii kuwa maarufu sana na kuvuta watalii wengi kutaka kuizuru.

Watalii pia huvutiwa mno na utamaduni wa Wasamburu pamoja na mavazi na mienendo yao.

Tanbihi

hariri